PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA THELASINI NA NNE (134)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Shamim aliisikia ile milio miwili ya risasi na kelele zilizopigwa kwa maumivu makali na kisha Kisu akachukua ile simu na kuongea naye. "Nimemaliza kazi uliyonituma"akasema Kisu.
"Nashukuru kwa kumaliza kazi ila bado hujamaliza kama tulivyokubaliana"akasema Shamim. "Haina tatizo bosi nipe maelekezo ya sehemu husika"akasema Kisu. "Nenda mpaka Bagamoyo kalibu na yale majengo ya makumbusho njiani kabla hujayafikia kuna contena la blue na ingia ndani ya lile kontena kwa ndani kuna sehemu katikati ipo kama imepakwa rangi ya blue.banda ile alama ya blue na mlango utafunguka kuingia chini! Huko ndo kila kitu kitaishia"akasema Shamim.
"Nimekwelewa bosi"akajibu Kisu. "Kila kitu utaacha chini ya uangalizi wa wale utakaowakuta kule na kama kuna maagizo mengine nitakutafuta"akasema Shamim. "Nimekusoma mkuu"akajibu kisu. "All the best"akasema Shamim na kukata simu.
Kwenye chumba alichowekwa Shamim wakati akiwa chini ya ulinzi wa usalama wa Taifa kijana mmoja matata sana na aliyekuwa akiaminiwa na serikali katika mambo yanayohusu usalama wa Taifa alikuwa akijalibu kutafuta japo chochote kilichoanchwa na Shamim kiweze kumsaidia katika utendakazi wake.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.