MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA THELASINI NA TATU(133)


Pamoja Blog 7/21/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mwanadamu mwenye sura mbaya yawezekana kuliko wote ambao nilishawahi kuwaona maishani mwangu aliingia kwenye mkoa huu wenye baridi sana wa Iringa akiwa na lengo la kutimiza kazi iliyomleta katika mji huu. Ungepata nafasi ya kukutana na Kisu kama hujawahi kupitia maisha ya kibabe ubabe basi ungeweza kujikojolea peke yako.
Alikuwa na sura iliyoharibika zaidi ya mwanajeshi aliyetoka kwenye vita ya Iraq au huko Somalia na ungepata nafasi ya kumwangalia kwa ukalibu ungedhani kuwa amelipuliwa na bomu na kufikia hatua ya kuharibika sura kiasi kile.
Sura yake ilikuwa na jicho moja bovu na pia kovu kubwa sana lililouzunguka uso wake. Alama hiyo hakuzaliwa nayo bali siku aliyoenda kinyume na maagizo ya Shamim alijikuta kwenye ndoo yenye acid huku akidumbukizwa uso wake mzima kwenye ndoo hiyo.
Kwa bahati mbaya jicho moja liliharibika 

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA IJUMAA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments