PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA THELASINI NA MBILI (132)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Gari ilikuwa katika mwendo kasi kupita kawaida huku ikiendeshwa na Herman mmoja wa vijana walioasi kutoka katika utawala na uongozi wa Shamim. Ilipita mji wa Madison bila kusimama na kuelekea moja kwa moja katika mji wa Crystal Cedar na kusimama ili wapate chakula cha mchana kabla ya kuendelea na safari. "Ant samahan!"alisema Aboud.
"Bila samahan!"akajibu Catherine mhudumu wa muda mrefu wa wa mgahawa ule wa Mc Leakey. "Kuna umbali gani hapa mpaka kwenye mji wa Brownsvile kwenye mpaka wa Mexico kupitia kwenye mji wa St Antonia Texas nchini Marekani?"akauliza. "Ni kama masaa matano hivi kama gari yenu ina speed nzuri ila kama mnaenda kwa mwendo wa kawaida ni masaa saba"akajibu yule binti. Wakaridhika na jibu lake.
"Tutaingia usiku na kwa mujibu wa maelekezo ya wale jamaa tunapaswa kukutana kabla ya kufika mji wa Brownsville ila kuna mji tutapita wa Laredo na kumaliza bishara eneo lile ndo tutavuka kuingia Texas"akasema Herman. Wakakubaliana kuongeza speed ya gari yao ili wawahi kufika Laredo.UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.