PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA NNE(114)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Alex akiwa kituo cha polisi akiwa anapewa maelekezo yasiyoeleweka kwenye akili yake simu yake iliita. "Haloooo!!!..." "Baby nakufaaaaaaaa!!"sauti laini na ya kulalamika ilipenya kwenye ngoma za masikio yake. "Aaaaaah!!! Kisa nini? Na wewe nan?"akauliza kwa hamaki kidogo. "Jaman baby!..aaaaaaa! Mimi Lily! Nakufa mme wangu nisaidie tafadhali...."sauti ile ikaendelea kulalama. "Acha kulia basi unielezee kuna nini? Na kwa nini unasema unakufa?"akauliza
Askari aliyekuwa naye pale kituoni akageuka kumwangalia kwa sababu ya kushtushwa na taarifa ile. "Baby wamenitapeli...aaaaaaa!!! Nakufa mie jaman"sauti ikendelea kulalama. "Okey tufanye hivi!...uko wap sasa hivi?"akauliza Alex.UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.