PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA THELASINI NA MOJA(131)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Abdul hakuamini kama alichokisikia ni kweli kabisa kinaweza kuwa kimetokea. "Hapana siamin!! Yaani na ulinzi wote huu ameweza kutoloka?? Lazima nihakikishe"aliwaza Abdul. Alitoa ishara kwa vijana wake na wakaondoka na kutambaa kwa tumbo mpaka wakawafikia askari wawili waliokuwa eneo lile na kuwaweka chini ya ulinzi kisha wakawakokota mpaka Abdul alipokuwa kasimama.
"Sina shida na nyie ila nahitaji mnijibu swali langu pekee!"akasema huku akiwa kawawekea bastora shingoni.
 "Nani aliyetoloka??"aliwauliza na wakati huo huo wale askari walikuwa wakitetemeka kwa uoga uliopitiliza kwani tangu wamalize mafunzo yao na kuwa askari kamili hawakuwahi kuwekewa silaha hata siku moja shingoni mwao hivyo siku hiyo waliiona kama siku mbaya zaidi katika maisha yao. "Ametoloka.....ametoloka yule!"akajibu mmoja.
Abdul aliachia bonge la kofi kwenye shavu la yule askari mpaka akaanguka chini. "Ametoloka yule gaidi aliyekuwa amekamatwa! Tafadhali usiniue"

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.