PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA THELASINI (130)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Junior alishtuka sana kutokana na hali iliyomkuta Joan. Ikabidi aombe watu wamsaidie kumbeba Joan na kutafuta gari ikamkimbiza hospitali haraka sana. Alipokelewa haraka na kuanza kuhudumiwa na daktari aliyekuwa pale. "Amepatwa na mshtuko mdogo tu kijana usiwe na wasi wasi atakuwa sawa muda si mrefu"akasema Daktari akimwambia Junior. Junior alikaa kwenye dawati dogo lililokuwa pale na kusubiri. 
Baada ya saa nzima Joan alirudiwa na fahamu na Daktari akashauri aachwe apumzike kwa saa nyingine. "Hapana Dokta tuko safarini naomba tuondoke "akajibu Junior.
Walirumbana kwa muda na Daktari yule na mwishowe Junior akashinda na kuruhusiwa kuondoka na Joan. Walielekea kwenye Hotel waliyopanga bila kusemeshana chochote. Walipofika Junior akaanza kupanga vitu vyao ili waondoke. "Vip? Mbona unapanga mizigo?"akauliza Joan. "Itabid tuondoke leo hii hii na magari yanayotoka Dar kuelekea Mbeya na huko tutajua cha kufanya ili kutoloka kwenda mbali ambako hataweza kutupata"akajibu Junior.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.