PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA TISA(129)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mara baada ya Shamim kuwamaliza wale askari waliobakia aliendelea na safari kupitia kulia kama alivyoelekezwa na Hussein. "Simama hapo ulipo"akasema Hussein. Shamim alitulia eneo aliloelekezwa ingawa hauona eneo lolote linaloweza kuwa kama njia ya yeye kutoka ndani ya jengo hilo. "XD48DX" Hussein aliingiza hizo code ambazo mara nyingi alizitumia kama code malaya kama ambavyo kuna Funguo malaya na mara kwa mara hizo code hazijawahi shindwa kufungua mlango wa siri wa aina yeyote ile.
"CODE DENIED"alirudishiwa jibu. "Agggggh!!"Hussein aligonga kichwa chake kwa hasira. Shamim alisubiri ila akaona kama inaweza kumgharimu hivyo akadandia ukuta na kujibanza kwenye paa lenye kona la ile nyumba. Hussein alifikiria sana mwishowe akaamua kujalibu kuibadilisha ile code kinyume nyume "DX48XD" then akabonyeza SEND na ile mashine ikaanza kuloaad taratibu.
Loading.................error........ Akapiga kete kwa hasira ila hakukata tamaa akaituma tena. "CODE ACCEPTED" ilirudisha majibu. Alijikuta akishangilia mwenyewe pale alipokuwa.
Shamim akiwa pale juu alishangaa chini ya ardhi eneo alilotumia kupambana na wale askari likifunguka na kuacha shim lenye ngazi za kushuka ndani likiwa wazi.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.