PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA NANE(128)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Hussein alipomaliza kusikiliza yale maongezi kati ya Abdul na vijana wake alijua kuwa Shamim lazima atauawa hata kama sio wale Polisi wa Kitanzania basi Abdul na vijana wake walikuwa na uwezo wa kumpoteza Duniani kwa sekunde chache. Aliendelea kucheza na ile computer yake alioiunganisha na Satelite ikaendelea ku search mpaka ikanasa kwenye Rada ya Setikali ya Tanzania na kuanza kutafuta Usalama wa Taifa ilipo.
Alitumia sekunde chache na akawa amepapata. Alipopata ile sehemu ilipojificha aliingiza code namba za Shamim kwenye GPS na kuanza kufatilia alipo kwenye jengo lile. Alipopata mahali alipo Shamim alipanda pikipiki yake na moja kwa moja akaelekea eneo husika. Alipofika alitafuta jengo la jilani na pale kisha akawasha tena Computer yake na kuangalie eneo lile vizuri. Alipohakikisha ramani ya jengo lile yote inaonekana kwenye ile mashine yake aliielekeza pale Shamim alipokuwa. Ilipomuonesha Shamim alipo aliandika neno " ENTRACE" kisha akabonyeza kibatani cha ingiza.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.