PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA TANO(125)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu."Mbona unaogopa ogopa kijana? Au una makosa? Ongea nakusikiliza"alisema yule askari. Nilishikwa na kigugumizi na kujiuliza hivi Shamim akiwashinda wale askari maisha yangu yatakuwa hatarini kiasi gan? Niliwahesabu haraka haraka wale askari na kugundua idadi yao ni kama zaidi ya ishilini nikajipa moyo kuwa hataweza kuwazidi uwezo. "Afande mimi kuna jambo nataka kukwambia ambalo litakuwa msaada kwako na kwangu pia"nikasema. "Jambo gani hilo kijana? Sema basi muda unaenda na gari litaondoka"akajibu yule askari.
"Unakumbuka miaka miwli iliyopita huko Dar es salaama kuna askari waliuawa na gaidi mwanamke na serikali ikamtafuta bila kumpata kwa muda wote mpaka sasa?" nikamuuliza. "Ndiyo nakumbuka na pia serikali iliweka kiwango cha pesa kwa atakayefanikisha kufichua alipoa" akajibu yule askari. "Basi mimi yule mwanamke najua alipo afande"nikamwambia. Alishtuka sana mpaka nikashangaa!!
" Unajua alipo? Sasa kwanini usiseme ili hata hiyo zawadi uipate? 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWAITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.