PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA NNE(124)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu."Sikupenda kuwa gaidi Junior na ndiyo sababu ya mimi kukusimulia kila kitu juu ya maisha yangu ili usinichukie na pia unifahamu nje ndani na ikibidi tutimize lengo letu la kuishi pamoja kama mke na mme na kumlea huyu mwanetu aliyeko tumboni kwa amani na furaha"akasema Shamim. "Nisikuogope? Mmmmmh!! Huyu hajielewi nini? Naweza ishi na mwanamke roho mkononi wa hivi? Siku nikifanya kosa si ataniua? Hapana lazima nimkabidhi mkononi mwa serikali tu"aliendelea kuwaza Junior kimya kimya.
Joan alipiga chafya na kila mmoja akafahamu kuwa kaamka. "Vip unajisikiaje kwa sasa mdogo wangu?"akauliza Shamim. "Angalau kidogo dada"akajibu Joan. "Pole sana mdogo wangu"akasema Shamim. 
"Pole Joan"nikasema na mimi. "Ahsante ila dada kuna kitu naomba kukwambia"akajibu Joan. "Nambie tu mdogo wangu"akasema Shamim Nilishtuka kusikia Joan kuna kitu anataka kumwambia Shamim nikataka kumzuia japo kwa ishara ila bahati mbaya akawa haniangalii. "Nilikuwa nawasikiliza mwanzo mpaka mwisho wa simulizi yako! Dada nakiri nimekukosea sana kwa kutembea na Junior! Najua unampenda kwa dhati na imefikia hatua una ujauzito wake!


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.