PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA TATU(113)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Shamim alipofika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alitulia sehemu ya kuwapokea abiria na kusubiri huku akiwa kawaacha vijana wake distance ndogo sana kutoka pale alipokuwa kakaa yeye. Wakati Alex anatokeza kwenye mapokezi ile akiwa na uso wa furaha akiwa hajui chochote kile kuhusiana na Shamim kuwaacha polisi solemba. Alipotokeza eneo la mapokezi akiwa na vijana wake wale aliokabidhiwa kutoka nje ya nchi ili akishampata Shamim awakabidhi kisha waondoke naye kwenda huko.
Alipatwa na bumbuwazi pale alipomuona Lily akiwa amekaa eneo lile. "Lily.....au nimekosea?"alijikuta akiongea bila kutarajia. Lily au Shamim kama wengi wanavyomfahamu alinyenyuka bila kujibu neno na kumkumbatia Alex na kumbusu mbele za watu bila kuona aibu mashavuni kisha akahamia mdomoni. "Nilikumis sana baba"akasema Lily
"Hata mimi pia mama nilikumis sana! Vip hapa? Au umekuja kunipokea?"akauliza Alex. "Hapana babaa! Ningejuaje unakuja? Kuna mtu ana vitu vyangu ndo nimekuja kumpokea"akasema. "Oooh!! Vip ameshafika tuondoke?"akauliza Alex. Wakati wanaongea wale vijana wa Alex walipita kama hawajuani na Alex.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.