MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SEKRETARIETI NA WAFANYAKAZI WA CHAMA DODOMA MJINI DODOMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa mara baada ya kuwasili makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuongea na sekretarieti ya CCM kwa mara ya kwanza katika makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na wafanyakazi wa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Waziri Mkuu Ndg. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na Secretarieti ya CCM makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Waziri Mkuu Ndg. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya CCm na wafanyakazi wa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiaga baada ya kupata picha ya pamoja na Sekretarieti ya CCm na wafanyakazi wa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na wafanyakazi wa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akisikiliza maoni na changamoto toka kwa wafanyakazi wa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo. PICHA NA IKULU
Post a Comment
Powered by Blogger.