MKUU WA WILAYA YA KIGAMBONI AONGOZA WANANCHI WAKE KATIKA ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Hashim Mgandilwa, akitoa maelekezo kwa wakazi wa wilaya hiyo waliojitokeza kushiriki kazi za usafi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kufanya usafi kila ifikapo Jumamosi ya mwisho wa mwezi.
Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndugulile (kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya hiyo,Hashim Mgandilwa (wapili kulia) wakishiriki kazi za usafi eneo la Feri Kigamboni jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kufanya usafi kila ifikapo Jumamosi ya mwisho wa mwezi.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Hashim Mgandilwa akizungumza na waandishi wa habari.
Mmoja ya watoto waliojitokeza kwenye kazi hiyo ya kufanya usafi.
Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira Wilaya ya Kigamboni, Fanuel Kipesha akiszungumza na waandishi wa habari mara baada ya kazi ya usafi kukamilika.
Baadhi ya washiriki wa kazi ya usafi walichoma moto takataka laini.
Post a Comment
Powered by Blogger.