MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » MKUU WA MKOA WA RUVUMA AWATEMBELEA WANANCHI WALIOPOTEZA NDUGU ZAO KWENYE AJALI YA MAJI MTO RUVUMA


Pamoja Blog 7/05/2016 06:05:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge (mwenye shati jeupe) akiwa ndani ya Mtumbwi akivuka Mto Ruvuma kutoka kijiji cha Mkenda Songea kwenda kijiji cha Mitomoni wilaya ya Nyasa, kwenda kutembelea familia za watu tisa waliofariki dunia kufuatia ajali ya Maji kwenye Mto huo, walipokuwa wakivuka. 
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge akiwafariji wafiwa katika kijiji cha Mitomoni wilaya ya Nyasa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments