MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AAHIDI KUKOMESHA UFANYAJI KAZI WA MAZOEA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya mipango kamambe ya kukomesha wavamizi wa maeneo ya wazi ambayo yametambuliwa kuwa ni viwanja 52.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD), Athuman Juma akizungumza namna jinsi walivyojipana kukusanya mapato kwanjia za kieletroniki na mashine za EFD's kuhakikisha mapato hayapotei.
Mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania,Eliya Mbonea akiuliza swali.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo
Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo

Afisa Habari Mwandamizi wa Jiji la Arusha,Nteghenjwa Hoseah akizungumza jambo baada ya mkutano huo.
Post a Comment
Powered by Blogger.