MAMIA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU ELIZABETH MAYEMBA.

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


  Mamia ya Waombolezaji wajitokeza kuaga mwili wa mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Majira marehemu, Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam. Mwili huo utasafirishwa leo kwenda mkoani Morogoro kwa mazishi. Waombolezaji wakiga mwili wa Marehemu Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam leo.
Post a Comment
Powered by Blogger.