MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » JAJI MKUU ATEMBELEA BANDA LA GLOBAL LINK EDUCATION VIWANJA VYA SABASABA


Pamoja Blog 7/04/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Jaji Mkuu , Othman Chande,  akiwasili Viwanja vya maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Viwanja vya  Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
 Jaji Mkuu , Othman Chande akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi  wa  Global Link Education, Abdumalik Mollel, wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja  vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
 Jaji Mkuu ,Othman Chande akiongozwa na Mkurugenzi wa  Global Link Education, Abdumalik Mollel, wakati alipokuwa akitembelea  kuangalia huduma mbalimbali kwenye Banda hilo jinsi Wananchi wanavyoweza  kujiunga na vyuo vya nje ya nchi, wakati akiwa katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Viwanja  vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu Othman Chande,  akioneshwa  na Mkurugenzi wa  Global Link Education, Abdumalik Mollel, Tuzo mbalimbali walizowahi kutunukiwa.
 Jaji Mkuu Othman Chande,  akioneshwa  na Mkurugenzi wa  Global Link Education, Abdumalik Mollel, Tuzo mbalimbali walizowahi kutunukiwa.
 Jaji Mkuu , Othman Chande,  akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa  Global Link Education, Abdumalik Mollel alipotembelea banda hilo.
Sehemu ya wananchi wakipata huduma katika banda hilo la Global Link Education.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments