MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » » DTK TULIA AONGOZA MBIO ZA TULIA MARATHON KM 5 MJINI DODOMA LEO


Pamoja Blog 7/22/2016 01:51:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Baadhi ya vikundi mbalimbali vikisubiri kuanza mbio za Tulia Marathon KM 5 zikiwa ni sehemu ya kuhamasisha jamii kusaidia watoto Yatima na waishio katika Mazingira Magumu,ambapo baada ya mbio hizo walikwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha Watoto Yatima kiitwacho kijiji cha Matumaini kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma. Wakati wa kutoa msaada huo Dkt Tulia alisema kuwa ni vvema kila Mkoa vikawa na vikundi mbalimbali kikiwemo cha Wazalendo wakafanya shughuli za Kijamii kusaidia makundi mbalimbali.
 Baadhi ya Wabunge mbalimbali wakijiandaa kushiriki mbio hizo
 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Tulia Ackson (wa tatu kulia),akiwa ameongoza na Wabunge mbalimbali vikiwemo na vikundi vya kuhamasisha mbio hizo zilizoanzia geti la Bunge na baadae kuishi katika viwanja vya Vya Nyerere Skwea mjini Dodoma.
 Baadhi ya Wabunge wakishiriki mbio za Tulia Marathon KM 5 mapema leo,ambapo mbio hizo zilikomea katika viwanja vya Nyerere Skwea
 Vikundi mbalimbali vikiunga mkono mbio za Tulia Marathon KM 5 mapema leo asubuhi.
 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Tulia Ackson (wa nne kulia),akiongoza mbio za Tulia Marathon KM 5 akiwa sambamba na baadhi ya Wabunge mbalimbali vikiwemo na vikundi vya kuhamasisha mbio hizo zilizoanzia geti la Bunge na baadae kuishi katika viwanja vya Nyerere Skwea mjini Dodoma.Dkt Tulia na washiriki wa mbio hizo. Baada ya mbio hizo walikwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha Watoto Yatima kiitwacho kijiji cha Matumaini kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma.Wakati wa kutoa msaada huo Dkt Tulia alisema kuwa ni vvema kila Mkoa vikawa na vikundi mbalimbali kikiwemo cha Wazalendo wakafanya shughuli za Kijamii kusaidia makundi mbalimbali.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments