BODI YA FILAMU YATOA MSAADA KWA WAKONTA ALIYEPOOZA MWILI MZIMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Wakonta Kapunda akimshukuru Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo kwa msaada wa shilingi laki 5 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akikabidhi msaada wa shillingi laki 5 kwa Wakonta Kapunda Jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Shamimu Nyaki WHUSM).


Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akisalimiana na Bw. Bazilio Kapunda baba wa Wakonta wakati wa kukabidhi msaada wa shillingi laki 5 kwa Wakonta Kapunda Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kulia) akizungumza na familia ya Wakonta wakati wa kukabidhi msaada kwa wa shillingi laki 5 kwa Wakonta Kapunda Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment
Powered by Blogger.