MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » ZAIDI YA UPENDO: BABA AJIWEKA TATOO KUFANANA NA MWANAWE ALIYEFANYIWA UPASUAJI


Pamoja Blog 6/28/2016 02:21:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Baba wa miaka 28 nchini Marekani amenyoa kichwa chake na kuweka mchoro wa tatoo unaofanana na kovu la kichwa cha mwanawe aliyefanyiwa upasuaji.

Josh Marshall,ambaye anatoka Kansas aliingia katika shindano la kila mwaka linaloendeshwa na shirika la hisani kuhusu saratani ya watoto na kushinda taji la #BestbaldDad{baba mwenye kipara kizuri} wikendi iliopita.

Akikiri aliandika: Mimi na mwanangu katika hafla ya St. Baldtricks huko Wichita Kansas. Niliwekwa tatoo ya kovu la mwanangu ili kuimarisha motisha yake. Shindano hilo huwashirkisha watu wa familia na marafiki wa mtoto aliye na saratani.


Mwanawe alipatikana na uvimbe katika ubongo mnamo mwezi Machi. ''Mwanangu alikuwa na wasiwasi mwingi baada ya kufanyiwa upasuaji,alijihisi kama hayawani'',alisema Josh Marshal.

CHANZO: BBC SWAHILI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments