YALOYOJIRI BUNGENI LEO MJINI DODOMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson akiendesha kikao cha 36 cha mkutano wa 3 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo mjini Dodoma.
Baadhi ya Wabunge na Mawaziri wakifuatilia masuala mbalimbali ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa kikao cha 36 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo.
Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi bungeni mjini Dodoma Juni 3, 2016.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (kulia) na Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Nape Nnauye wakiteta na Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah Bungeni mjini Dodoma Juni 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maaluum, Lucy Mayenga kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa CCM kutoka Wilaya ya Ruangwa, Salum Seif Mapatu (kushoto) na Idrisa Said Mtalika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Jakaya Kikwete kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Mzumbe waliotembelea Bunge kwa Mwaliko wa Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete (mwenye kanzu katikati) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wageni mbalimbali waliolitembelea Bunge wakifuatilia kikao cha 36 cha mkutano wa 3 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo mjini Dodoma.
Post a Comment
Powered by Blogger.