WAZIRI UMMY MWALIMU AFUNGUA MKUTANO WA 12 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Katibu Mkuu wa  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na watoto, Mpoki Ulisobisya akizungumza katika Mkutano wa 12 wa Baraza la mawaziri wa Jumuiya ya Afrika mashariki jijini Arusha.
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu (katikati) akiwa na waziri wa afya toka Uganda(kulia kwake)wakifuatilia mada zinazowasilishwa Kenney mkutano huo.
 Mawaziri wa  afya za nchi za  Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa pamoja wa majadiliano kuhusu maendeleo endelevu ya kupunguza kiwango cha juu cha maambukizi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza unaofanyika jijini Arusha.
Baadhi ya mawaziri wa baraza la Mawaziri wakiwa Kenye picha ya pamoja.
Post a Comment
Powered by Blogger.