UPDATES: ZITTO KABWE AWASILI POLISI DAR KUHOJIWA LEO ASUBUHI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe awasili Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kuhojiwa. Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amewasili katika kituo kikuu cha kati cha Polisi jijini Dar,tayari ameshakutana na ZCO Camilius Wambura akiwa na RCO wa Temeke pamoja na Naibu ZCO Kwa mahojiano.

Ameambatana na Wanasheria wake .Ameitwa polisi kuhojiwa kuhusu hotuba aliyoitoa Mbagala katika Mkutano wa 'Linda Demokrasia' Uliofanywa na Chama cha ACT Wazalendo.

Taarifa zaidi kukujia.

Chanzo: Jamii Forums
Post a Comment
Powered by Blogger.