UPDATES: TUNDU LISSU AACHIWA KWA DHAMANA BAADA YA KUPANDISHWA KIZIMBANI LEO KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu akiwa katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu. Ikiwa jana Mbunge huyo alihojiwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha Polisi cha Kanda maalumu ya Dar es Salaam na kutupwa Rumande mara baada ya kukosa dhamana.
Kwa habari zilizotufikia hivi punde kutoka mahakamani inasema kuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana na ameamuriwa kutosafiri nje ya nchi.

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwasiri mahakamani leo.

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Post a Comment
Powered by Blogger.