PICHA: YALIYOJIRI NJE YA UWANJA MARA BAADA YA UWANJA KUJAA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mashabiki wakiingia Uwanjani kwa ajili ya kutazama mtanage kati ya Yanga na TP Mazembe(Picha na Francis Dande)
Mashabiki wakiwa nje ya uwanja mara baada ya uwanja kujaa
Mashabiki wakiwa wakiwa nje ya Uwanja wa Taifa baada ya uwanja kufurika mashabiki na kushindwa kuingia.
Vijana wakikimbia baada ya Polisi kupiga bomu la machozi na kuwatawanyavijana hao waliokaidi agizo la Polisi.
Watu mbalimbali wakikimbia baada ya Polisi kuwatawanya kwa kupiga mabomu ya machozi baada ya kugoma kuondaka uwanja ulipojaa.


Mashabiki wa Soka wakikimbia mabomu ya machozi baada ya kutawanywa na Jeshi la Polisi.

Watu mbalimbaliwakikimbia ovyo baada ya Polisi kuwatawanya mashabiki waliohudhulia pambano la Yanga na TP Mazembe.
Polisi akipiga bomu la machozikuwatawanya mashabiki wa mpira waliokaidi agizo la kuondoka mara baada ya uwanja kujaa.
Askari Polisi akijiandaa kupiga bomu la machozi.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Siro akizungumza na vijana waliokusanyika nje ya Uwanja wa Taifa mara baada ya uwanja kujaa.
Post a Comment
Powered by Blogger.