PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YATISINI NA MOJA(91)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu."Lakin mimi naona hizo code ni rahisi sana polisi kushtukia"akauliza Shamim "Wee naye unajifanya unajua kila kitu watajuaje sasa?"akauliza Majid Majid alishaonesha upinzani kati yake na Shamim tangu wanaanza mafunzo yale na kuanza kuiva "Hayo niliyotoa ni mawazo yangu na wala hayakuhusu"akajibu Shamim "Siyapendi haya malumbano yenu kabisa,haya Shami toa mawazo yako"akasema kiongozi
" Mimi naona hata mjinga akiona code lazima atashtukia kuszisoma kwa staili hiyo hivyo bora zingegeuzwa juu chini ili iwe ngumu kuzisoma"akasema Shamim
"Nashukuru kwa akili yako kufanya kazi haraka hivyo ila nilikuwa sijamaliza kuelezea hizi code huwa tunazitumia kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe kwenye mishe zetu ila unapojikuta umeshikwa tuna mbinu mbadala"akaeleza " ukikamatwa na unahitaji kuwasiliana na sisi kutupatia ujumbe basi tunatumia ishara za alama UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 

ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.