MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA TISINI(90)


Pamoja Blog 6/08/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Joan alishtuka kusikia Shamim akimwambia watoloke "Dada tutoloke? Tutatoloka vip hapa na unaona nyumba imezungushiwa umeme?"akauliza Joan "Kwa hiyo we unanishaurije?"akauliza Shamim "Dada mimi nakushauri tufanye wanavyotaka kwa sababu sio watu wabaya! Wamesema watanisomesha na wewe watakufanya tajiri kubali tu"akasema Joan Shamim alitafakari maneno ya mdogo wake kwa kina ikabidi akubaliane naye kwa sababu hakuona namna ya kumuwezesha kutoloka na pia hakuona kama wale watu ni wabaya kwake
Walipiga story na Joan mpaka usiku sana ndipo wakalala mpaka kesho yake asubuh Waliamshwa saa moja asubuh na baada ya kunawa uso wakapelekwa sehemu ya kulia chakula wakanywa chai nzito " Ni wakati wako kumuaga Joan kwa sababu mtatengana kwa muda ila tunakuhakikishia atasoma na pia tutajitahidi muwe mnaonana"akasema kiongozi wao "Atasomea wap?"akauliza Shamim


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA ALHAMISI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments