PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA TISINI NA TISA(99)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Lily alipokaa sebuleni hakuzubaa alizungusha macho yake kijanja pale bila kushtukiwa na Alex mpaka akafanikiwa kuziona kamera zikiwa zimetanda pale ndani na akajua moja kwa moja kuwa ile nyumba itakuwa imezungushiwa kamera pia kila upande "Nisubiri kidogo mrembo"akasema Alex Alipoondika tu Lily au Shamim akatoa kifaa kidogo mfano wa kalamu na kufanya mawasiliano "Pz asiingia mtu kwanza humu mpaka niwape majibu kuna camera kila upande"akasema taratibu "Boss tubep na simu yake tunaweza kutegua kamera hizo"akajibiwa
"Ok"akajibu Alitulia mpaka Alex aliporudi na kumkuta akimsubiri "sor kwa kukuacha peke yako ila kalibu kinywaji"akasema akimkabidhi "Usijal ila naomba simu yako dakika moja nimtumie sms msaidizi wangu kumpa maagizo"

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.