PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA TISINI NA NANE(98)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mahmoud alipopewa mpango wote wa namna ya kufanya aweze kurudisha mali zake na Shamim aliupenda "Niko tayali kutumia gharama zote kwako ilimradi unirudishie hizo mali zangu Shamim"alisema Mahmoud "Usijal boss i promice"akasema Shamim Maandalizi yalianza na akatafutiwa wamama waswahili haswa na wakamfunza mambo mbalimbali juu ya mapenzi na namna ya kumshika mwanaume yeyote yule hata kama ni Osama asiweze kufurukuta mbele yake
Pia akapata nafasi ya kurembwa na kubadilishwa ule mwonekano wake wa kibabe na kuwa mlaini ndipo akapewa pesa na kila alichokihitaji na kuondoka kuelekea Dubai kukamilisha mpango wake kwa Alex Shamim na bosi wake waliamin kupitia 
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 

ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.