PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA TISINI NA SABA(97)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mara baada ya kutoka kwenye zile ofisi za kukatia tiketi Shamim alipanda gari na kumpa maelekezo Abdul kuwa aendeshe kidogo kisha ashuke na kufatilia atakachokifanya Alex Alipoendesha na kufika sehemu akapaki na kushuka chini akimwacha Shamim akiendelea na safari Alex alirudi na kujibanza sehemu akiangali zile ofisi akamuona Alex akitoka ndani na kupanda gari kisha akatokomea Na yeye akaelekea kwenye zile ofisi na kumshawishi yule mhudumu kwa rushwa akapata taarifa za Alex
Alex alirudi kwenye chumba alichopangiwa na wale mabosi wake na kupumzika akisubiri malipo yake na kisha arudi Tanzania Alipotulia alikosa usingizi kabisa kwani sura na ule urembo wa yule mdada uliendelea kumsumbua kila wakati 
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 

ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.