PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA TISINI NA SITA(96)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Alipofika eneo lile Mohmoud aliwaangalia akina Shamim pale chini walipokuwa wamefungwa kwa muda kisha akatema mate kwa hasira "Unapaswa kufa Shamim! Huwa sina nafasi ya pili kwa anayefanya kosa kwangu"akasema "Najua hilo bosi ila naomba nafasi moja kukuthibitishia uwezo wangu na pia kukurudishia mzigo wako na baada ya hapo unaweza kuniua"akasema Shamim "Unaniahid nini?"akauliza Mahmoud
"Kila kitu chako kitarudi at the right time boss naahidi"akajibu "Ok, kuna taarifa nimepokea kutoka kwa vijana wetu walioko kule kuwa kuna kijana yule niliyekuonya mwanzoni kuwa anashilikiana nao,yule Mtanzania kuwa ndiye aliyecheza mkanda mzima hivyo ili kupata chochote juu ya ule mzigo lazima tumtumie yule kijana"akasema Mahmoud "Huyo kijana yupo Tanzania? Au kule?"akauliza
"Yupo kule bado ila makazi yake yako Dar es salaam ila wasiwasi wangu ni kuwa yawezekana ameikariri sura yako"akasema UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.