PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA TISINI NA TANO(95)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Ndege ya shilika la ndege la nchini Kenya ya Kenya Airways ilitua kwenye uwanja wa ndege wa Moi Internation Airport katika jiji la Mombasa Milango ilifunguliwa taratibu na watu wakaanza kushuka mmoja baada ya mwingine Sura mbili moja ya kiume na moja ya kike zilionekana zikitokeza kwenye mlango wa ndege hiyo ila nyuso zao hazikuonesha hali yeyote ya furaha Walijua yawezekana hiyo ikawa siku hiyo inaweza kuwa ya mwisho hapa Dunian au kwa msamaha wa kiongozi wao wanaweza kupona hivyo walishuka na kuelekea kwenye milango ya kutokea eneo lile la uwanja wa ndege na kukaguliwa kama taratibu zinavyopaswa kisha wakatoka nje ya uwanja Pale nje waliwakuta vijana watatu akiwepo Majid wakiwa wamevaa suti nyeusi na wakiwasubiria
Milango ilifunguliwa na wakazama ndani na magari yakaondolewa kwa kasi eneo lile Magari yale yaliishia kwenye mtaa wa watu wazito wa Miritini Estate na kuingia kwenye geti kubwa sana jeusi Gari ziliposimama walishuka na


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.