PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA TISINI NA NNE(94)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Shamim alijua wameshapatikana na hawana namna ya kujinasua kwenye lile tatizo lilowakabili ghafla bila kutarajia "Basi kama kuna tatizo naomba uingie kwenye gari tuongee mheshimiwa"alijalibu karata yake ya mwisho kwa kufanya ki2u ambacho kwa Tanzania ni maarufu sana kama kipoza roho na kimekuwa kikifanyika ili kujiepusha na matatizo na kwa sababu Askari wetu wengi masirahi yao ni kiduchu huku viongozi wakijilimbikizia mali nyingi
"Hapana mama serikali yetu inatujali sana na wala hatuna njaa kiivyo,,we shuka ulete mizigo tuipekue ikiwa salama mtaenda"akajibu yule askari Shamim hakuwa na ujanja bali alishuka na Abdul wakatoa mizigo yao ikaguliwe Wale askari walifungua mizigo ile na kufanikiwa kukuta shehena kubwa sana ya madawa ya kulevya


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.