MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA TISINI NA TATU(93)


Pamoja Blog 6/11/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Alex ambaye ni kaka yako Junior akiwa kijana wa kitanzania aliyekulia huko kwenu Moshi na kuamua kuja Dar es salaam kutafuta maisha aliangukia katika mikono ya wauzaji wa madawa ya kulevya Alianza taratibu sana kupokea mizigo ya mabosi wake na kuisambaza mikoani huku akipata malipo mazuri na kujijenga kimaisha ila mwishowe akaunganishwa na wafanyabiashara wa nje
Alex hakuwa na uwezo wa kuchukua madawa kwa pesa yake kutoka nje na uyaeta nchini Tanzania bali alikuwa akitumiwa kuyasafirisha kutoka huko kuja Tanzania Katika harakati zake hizo alijijengea jina kubwa kwa wale wauzaji wakubwa na kusababisha apate mbinu nyingi za uuzaji wa madawa


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA JUMAPILI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments