PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA TISINI NA MBILI(92)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Majdi alipepesuka na kuanguka kalibu na kitanda Akayasikilizia maumivu kwa sekunde kadhaa na kunyenyuka kwa hasira kali sana ili alipe kisasi Kitendo hicho ndicho alichokisubiria Shamim kwani alijua yule akinyenyuka atakuja na hasira kichwa kichwa bila tahadhari Majid alitupa ngumi yenye uzito wa kutosha kwa Shamim aliyeiona na kuipangua vizuri kabla ya kuachia konde kali sana kwenye mbavu za Majid akakgugumia kwa maumivu na kuanguka chini
Shamim akajiandaa kummaliza kabisa Majid kwa kuruka juu na kurudi na viwiko vya magoti ili atue tumboni kwa Majid Ghafla kitendo bila kuchelewa alijikuta akitandikwa teke mbili za tumbo akadondokea pembeni Yule kiongozi aliyetumwa kuwafata alipomkosa Majid aliamua kumfata Shamim Alipokalibia chumbani kwake ndipo akasikia vurugu za mapambano.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 

ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.