PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA THEMANINI NA TISA(89)


Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Yule mama alimwangalia Shamim kutoka juu mpaka chini akashika kiuno kwa mshangao "Narudia tena! Unaniambia Joan alipo au hauniambiaa?"akafoka Yule mama hakumjibu bado aliendelea kumshangaa yule mtoto "Wewe mama mzima tena mzazi huna akili unanunuliwa na kumuuza mtoto mdogo kama yule na mimi angekuwa mwanao ungekubali kufanya hivyo? Ngoja nikuoneshe"akasema
Shamim aliinama chini na kuokota jiwe kisha akamponda nalo ule mama kifuani Yule mama alipatwa na mshtuko na kujikuta akiangusha vyombo alivyokuwa amebeba kwa ajili ya kazi yake ile ya umama lishe Vile vyombo vilipoanguka Shamim aliinama na kuchukua kisu kutoka kwenye vile vyombo kisha akaanza kumfukuza yule mama huku akitoa matusi mengi ya nguoniUKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.