PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA THEMANINI NA NANE(88)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Shamim aliendelea kumtafuta Joan bila mafanikio kila upande na mwishowe akachoka "Atakuwa amechukuliwa? Au amenitoloka kwa kuniogopa?"alijiuliza Hakutoka kwa siku hiyo nzima eneo lile la bandari kabisa akitegemea kuna wakati atamuona Joan Ilipofika jioni ya saa kumi akiwa hajala aliamua kuzunguka kuelekea maeneo yenye magenge mengi ili apate japo kitu cha kuweka tumboni kutokana na njaa kali kumsumbua
Alizunguka kwenye magenge mengi sana mwishowe akatafuta sehemu na kukaa kwenye gogo "Wee mtoto"sauti ya mama mmoja mwenye genge ilimshtua "Mimi?"aliuliza akigeuka "Ndiyo wewe njoo"akasema yule mama Shamim alinyenyuka na kuelekea kwenye lile genge la yule mama aliyekuwa anamwita pale "Kaa hapo"yule mama alimwelekeza sehemu ya kukaaUKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.