MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA THEMANINI NA SITA(86)


Pamoja Blog 6/04/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Siku moja nyuma kabla ya mazishi ya mma yake Shamim Alipokuwa akiongea na Dokta wakiwa na yule Nesi na kila mmoja kubaki na mshangao juu ya msimamo na ujasiri wa Shamim Kwa bahati mbaya au nzuri Dokta alipotoka pale Hospitalin hakuacha lile swala liishie pale bali aliporudi nyumbani alimsimulia mke wake kipenzi Bahati nyingine mbaya au nzuri pale nyumbani alikuwepo kijana mmoja waliyezoeana na Dokta na kujenga urafiki aliyekuwa akifanya biashara zake kutoka Somalia na kuleta Tanga
Maelezo ya Daktari yule juu ya ujasiri na maisha ya Shamim ukamvutia sana "Nimepata vijana wawili boss"aliongea kwenye simu yule kijana "Wanatosha fanya uje moja kwa moja"akajibiwa "Hapana boss kuna kitu nimekisikia kutoka kwa huyu Daktari ninayefikiaga kwake ambacho kimenivutia sana"akasema yule kijana tena 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA JUMAPILI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments