PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA THEMANINI NA TANO(85)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Walijalibu kumshawishi Shamim akubali kwenda kuishi nao ila yeye alishikilia msimamo wake "Kwani dada wewe una mme?"akauliza Shamim "Ndiyo ninaye ila yeye ni msitaarabu hana matatizo"akajibu Nesi "Hakuna mwanaume msitaarabu na sitaki kabisa kuwaona wanaume kwenye maisha yangu,nawachukia sana tena sana wanaume"akasema Shamim " Lakin Shamim sio kila ukifanyiwa kitu kibaya na mtu mmoja basi unawahukumu wote tungekuwa hivyo basi tungewachukia binadamu wote mwanangu"akasema Nesi
"Sidhani kama nahitaj kushauriwa juu ya hili! Najua wewe ni nesi na mwelewa hivyo unaweza nishawishi sana ila hunijui tu! Labda nikwambie sihitaj kuendelea na haya majadiliano naomba kama mnanisaidia kumzika mama mnisaidie tafadhali"akajibu Shamim Hawakuwa na uwezo wa kuendelea kubishana naye hasa kutokana na msimamo aliokuwa akiuonesha pale

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.