PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA THEMANINI NA NNE(84)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Askari wakishilikiana na walinzi walifanikiwa kuwadhibiti wale vijana waliokuwa wanataka kutekeleza lile tukio kwa Shamim Walipokamatwa walichukuliwa mpaka kituoni kwa mahojiano zaidi na sheria kuchukua mkondo wake Shamim aliendelea kukesha na mama yake pale Hospitalin huku baadhi ya wagonjwa wakimpa msaada pamoja na manesi wa chakula Siku mbili baadae mida ya usiku mama yake Shamim alianza kurisha miguu na kutapatapa
Shamim akiwa usingizini alishtuka na kumkuta mama yake akiwa anatapatapa na kurisha miguu yake "Nesiii !!! Nesiiii!! Mama yangu! Mama yangu"alikimbia kuelekea chumba walichokuwepo manesi huku akipiga kelele na kuwaita Manesi walishtuka kutoka usingizini kwa sababu mara nyingi wakati wa usiku huwa hawana kazi nyingi hivyo kuuchapa usingizi Waliposhtuka kila mmoja alikurupuka na kudhani wakaguzi ndiyo waliokuja na hapo wanashtuliwa na mmoja wao 

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.