PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA THEMANINI NA TATU(83)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Bi mkubwa alipogonga ule mti kwa sababu alikuwa hajafunga mkanda alirushwa kupitia kioo cha mbele ya gari na akkumbana na ule mti Akapiga kichwa chake kwenye ule mti kikapasuka fuvu lake pale pale Haikuchukua sekunde nyingi kwa damu kuvujia kwenye ubongo na Bi mkubwa historia yake ikafungiwa pale Kama kawaida ya Watanzania tukio la ajali kama lile linapotokea cha kwanza wanachofikilia ni kuiba na si kuokoa maisha ya wahusika Moja kwa moja vijana waliowahi kufika pale walianza kunyofoa vifaa kwenye gari na vile vitu vingine alivyokuwa kabeba Bi mkubwa Raia walizidi kujaa eneo lile na wizi ukapungua ndipo simu zilipopigwa Polisi nao wakawaasiliana na wale askari wa usalama barabarani wakafika pale muda si mrefu
Katika pekua pekua pale wakabahatika kupata kitabu cha kumbukumbu cha Bi mkubwa na humo wakapa namba za simu kadhaa 
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.