PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA MBILI(112)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Alex aliwaeleza wenzake hatua aliyofikia kuhusiana na kumkatamata Shamim. "Unahidi atakuwa yeye?"akaulizwa "Asilimia mia moja nyie mtaona wenyewe"akasema. "Tutakupa vijana wakusaidia ukipata shida na pesa ya kutosha! Na tunakutakia mafanikio katika hili"akaaambiwa. Upande wa Shamim mara baada ya wale askari kuwasiliana na kiongozi wao aliyewapa kazi ya kuwakamata waliwachukua ili wawapeleke Kituoni.
 "Mnatupeleka kituoni kwa kosa gan? Mmetukamata ila hamjapata chochote kile kibaya sasa kituoni mnatupeleka kwa minajili ipi?"akauliza Shamim. "Hatuhitaji maswari sawa? Sisi ni askari wa jeshi ra polisi hayo maswari utayauriza kituoni! Afande rikamate hiri rianamke risagane ndo rinareta ujinga"akaongea askari mmoja kwa lafudhi ya Kikurya.
Shamim aliwaangalia wale askari na pia akawaangalia wale vijana wake. Akajiuliza afanyeje pale? Aende kituoni au ajiondoe vip pale??UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 

ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.