PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA MOJA(111)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Shamim alishtushwa na lile tukio la kuwaona polisi mbele yake wakiziba njia na kuwanyoshea silaha. "Bosi tunafanyaje? Tuwamalize?"akauliza mmoja wa wale vijana. "Subiri kidogo! Usifanye papara isije kutugharimu"akajibu Shamim. Shamim alitoa simu yake na kupiga namba ya bosi wao.
"Tumezingirwa na askari hapa tulipo na ni eneo lenye makazi ya watu na mbali na tunapoishi! Vip tuwamalize au?"akauliza. "Naona umeanza kufanya mambo kwa busara! Wamewaonesha silaha?"akaulizwa. "Ndiyo inaonekana wametonywa na mtu kuhusu sisi"akajibu. "Basi acha kupambana nao ila jisalimishe"akajibiwa. "Boss....."akakatishwa.
"Nimesema jisalimishe! Wewe si umeshindwa kuwa makini? Jisalimishe"akafoka bosi wake. Shamim hakuwana ujanja wowote na alishapewa sifa za askari wa kitanzania kuwa wako fiti sana na wote huwa wanakuwa na silaha kali aina ya AK 47 tofauti na wale wa kule kwao Kenya ambao wapo wapo tu akaona akilianzisha inaweza kumletea shida na hata kujikuta akipoteza maisha. Alikata ile simu na kuwageukia wenzake.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.