PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA NA KUMI (110)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu."Tulia hivyo hivyo! Ukijalibu kufanya chochote kila kifo ni haki yako"alisikia sauti ikimwambia. Shamim hakuwa na cha kufanya! Alitulia kama alivyoagizwa ila akijalibu kucheza na hisia zake kujua uwezo wa adui wake na pia lengo lake ni lipi!. "We ni nani na unatafuta nini hapa?"swali likarushwa kwake. Swali lile lilimfanya Shamim afahamu anayepambana naye si mtu anayejua chochote kile kuhusiana na kinachoendelea kwa Alex na wale waarabu na yeye!.
Akaweka mawazo yake kuwa atakuwa mlinzi wa kawaida tu wa nyumba ile. "Nimekuuliza swali hujibu eee? Nitakusambaratisha sasa hivi nyang'au wewe! Jibu"akafoka yule mtekaji. Shamim akaendelea kunyamaza maksudi akimhesabia hatua yule jamaa afanye kosa la kujisogeza kalibu yake ili amalize mchezo ule. Kosa moja alilotaaka jamaa afanye ndilo alilolifanya.
Akasogeza mguu wake kumfata Shamim ili amkabiri na kujalibu kutupa ngumi ili amdhibiti Shamim. Alichotaka Shamim kikatokea,

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.