PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA NA NANE(108)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Vijana zaidi ya kumi walikuwa chini kutokana na shambulizi lile na wale vijana wachache waliobaki wakachanganyikiwa kutokana na lile shambulizi la ghafla. Abdul akawa amewaona wale vijana wakijalibu kujiokoa kwa kukimbia na yeye akamwachia Jabir kidogo na kuwamaliza wale vijana kwa risasi. Kosa la Abdul kumwachia Jabir lilipelekea Jabir kutoka mbio eneo lile akimwacha Abdul akiwamalizia wale vijana. Abdul alipogeuka kumchukua Jabir akamuona kwa mbali akikimbia na kupotelea kwenye makontena yaliyojazana eneo lile. Kwa hamaki akaachia risasi kadhaa kuelekea alipokuwa Jabir.
"AchaaaaaaaaAbdul....."Shamim alijalibu kumzuia Abdul ila akawa amechelewa tayali. Walikimbia kwa pamoja na kuelekea kule Jabir alipokuwa na kumkuta akiwa katika hatua zake za mwisho za uhai. "Bado tunahitaji kuupata mzigo Abdul na bila huyu hatuwezi kupata kitu! Anapaswa kupona"akasema Shamim. 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.