PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA NA SABA(107)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Shamim alianguka chini kama mzigo na kusikilizia maumivu makali kutokana na risasi ya pili aliyopigwa mguuni mara baada ya ile ya kwanza aliyokuwa kapigwa kwenye bega Miongoni mwa mazoezi waliyoyapata wakati wakiwa wadogo mpaka wanakuwa na kufikia hatua hiyo yalikuwa ni kuvumilia aina yeyote ile ya mateso ambayo wangekutana nayo Shamim mwenyewe alishawahi kupigwa risasi tatu mguuni na begani na kulazimishwa kupambana akiwa katika hali kama hiyo zaidi ya mara tatu wakati wakiwa kwenye mafunzo kwenye msitu wa Gobe huko Mombasa na kile kikundi cha Mahmoud
Hivyo risasi ya pili aliyopigwa ilimsababisha asikie maumivu makali sana ila kwa nafasi nyingine alijilazimisha kuigiza kama aliyeumia sana na ambaye hawezi tena kusimama na kupambana na wale watu Igizo la Shamim likawashika wale Waarabu na kushawishika kuwa tayali walishammaliza na kuanza kujiandaa kudeal na Abdul


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 

ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.