PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA NA SITA(106)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Baada ya kuachana na Shamim ili kila mmoja aelekee eneo lake Abdul alijongea taratibu mpaka upande wa pili wa zile nyumba za kisiwa kile Alipogeuka nyuma akafanikiwa kumuona Shamim akipambana na wale askari wawili Akageuza ili aende kumsaidia ila kabla hajamfikia akashangaa kuona kikundi kikubwa sana cha askari wakielekea Shamim alipokuwa Akasita na kushindwa kuendelea kwa sababu aliona asingeweza kupambana na askari wengi vile "Nifanyeje sasa hapa? Mbona majanga"akawaza
Akageuka na kutafuta mnazi mmoja akajificha na kuanza kuangalia mchezo mzima wa kumkamata Shamim Askari wale walipoondoka na Shamim aliwafatilia kwa nyuma mpaka walipoingia kwenye yale majengo Akashindwa kuingia eneo lile Alirudi akajificha eneo moja akatoa simu ya kazi yenye uwezo mkubwa sana wa kusoma vitu hata visivyowezekana na kuwasiliana na bosi wao "Namba one kakamatwa"akasemaUKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.