PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA NA TANO(105)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Pyeong alikutana na maumivu makali sana sehemu zake za siri alipopigwa ngumi kali na Shamim akajikuta akienda chini bila kupenda Mabosi wale walipotaka kujalibu kupambana na Shamim alimpa mmoja pigo moja shingoni akalegea na kuanguka chini akapoteza fahamu wale wengine wakashtuka kuona kilichomkuta mwenzao hivyo wakatulia kuona hatima Pyeong hakutaka kuonekana mzembe alijinyenyua kutoka pale chini na kumfata Shamim
Alijalibu kupambana kwa kutupa ngumi za mfululizo na mateke akitegemea kumchanganya Shamim ila zote Shamim aliziona na kupangua kirahii sana Pyeong akabadili mbinu na kutumia fly kick ili aweze kuivunja shingo ya Shamim Shamim alishamsoma alichotaka kukifanya na akamuwahi kabla hajapaa akampa teke kali sana la mguu na kisha akaachia ngumi nzito kama jiwe kwenye shavu za kushoto la Pyeong aliyekuwa hajajiandaa kwa lile pigo


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.