PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA NA NNE(104)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Unyevu unyevu ulizidi kupenya kwenye kile chumba alichofungiwa Shamim hali iliyomfanya ahisi kama anakalibia kuganda kabisa Simu yake maalumu ilikuwa imeshachukuliwa hivyo hakuwa na namna ya kujinasua kutoka pale ndani Ila hakukata tamaa alielekea kwenye kona ya kile chumba na kujikunyata huku baridi ikiendelea kumtesa Alifikia hatua akawa anahisi utumbo ukiganda tumboni kwa ile baridi
"Niisipotafuta namna ya kujiokoa nitafia humu ndani na Abdul mwenyewe sijui yuko wap? Na kama yuko salama Akanyenyuka na kujalibu kutafuta upenyo wa kujalibu kujiokoa ila kwa bahati mbaya kile chumba hakikuwa na mlango bali kilikuwa na ukuta pekee ukiwa umeunganishwa na umeme pande zote Wakati akiendelea kuhangaika kutafuta upenyo alinyenyua macho yake na kuangalia juu na akafanikiwa kuona sehemu iliyofanyiwa ukarabati Akakunja ngumi yake na kwa nguvu zake zote akapiga ngumi eneo lile mpaka likapasuka
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.