PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA NA TATU(103)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Akiwa kajipumzisha nyumbani kwake Jabir Aboubakar Azizi akiwa anajiandaa kupokea wageni kutoka Mexico kwa ajili ya kufanya nao biashara ile kubwa aliyoamini kuwa itamnufaisha kuliko biashara zote ambazo alishawahi kuzifanya katika maisha yake yote Unga aliokuwa kaupokea kutoka kwa wale Wasomali ulikuwa wa gharama kubwa kwa sababu wale Wasomali walitegemea kwa kuuza ule unga walioupata kwa shida kutoka nchi moja ya Kusini mwa bara la Amerika walitegemea kupata silaha nyingi sana ambazo walishafanya majadiliano na kikundi chenye ushawishi mkubwa sana kwenye jimbo la Somaliland ili waweze kuipindua serikali ya jimbo hilo ambalo lilishajitenga kutoka Somalia na kujitangazia uhuru ingawa bado jamii za umoja wa mataifa hauutambui
Mahmoud alikuwa mzawa halisi wa Somaliland na pia baba yake ni miongoni mwa wana mapinduzi waliopambana na hatimaye kufanikisha kuisaidia Somaliland kujiondoa kwenye utawala dharimu wa Somalia 



UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.